
PACHA KALI YA YANGA HII HAPA
NDANI ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kuna pacha yenye maelewano mazuri wakiwa katika kutimiza majukumu yao msimu wa 2023/24
NDANI ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kuna pacha yenye maelewano mazuri wakiwa katika kutimiza majukumu yao msimu wa 2023/24
Msanii wa vichekesho Umar lahbedi Issa almaarufu la Mzee wa Mjegeje amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu. Meneja wa msanii huyo amethibitisha taarifa za kifo hicho huku chanzo cha kifo chake kikitajwa kuwa alikuwa anaumwa maradhi ambayo hayajawekwa wazi.
MSIMU wa 2023/24 unaingia kwenye orodha ya msimu ambao Simba inapitia magumu kutokana na mwendo wake kutokuwa bora ndani ya uwanja katika mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwa upande wa rekodi kwa timu na namba binafsi kwa wachezaji wanaotimiza majukumu kikosi cha Simba kwa hivi karibuni haujawa kwenye ubora ambao ulikuwa unatarajiwa…
MWAMBA Pacome Zouzoua anasumbuliwa na maumivu ya goti alipata maumivu mchezo wa Mzizima Dabi. Kuna hatihati kwa nyota hawa kuwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Khalid Aucho alikosekana Mzizima Dabi anasumbuliwa na goti, Zawadi Mauya naye hayupo fiti huku Attohoula Yao aliumia kwenye nyama…
LEGEND kwenye uandishi wa Habari za Michezo Saleh Ally ameweka wazi kuwa Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wanahitaji kufanya maandalizi mazuri na wasiogope kwa kuwa inawezekana na Yanga ni muda wao kujitangaza kimataifa.
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga SC, Fiston Mayele amempongeza kiungo wa Azam FC ambaye naye amewahi kukipiga Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kufunga goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani. Feisal aliibuka Azam FC akitokea Yanga walipokutana kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi uliochezwa Machi…
Serikali kupitia wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo leo Machi 19, 2024 imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Dokta Samia Suluhu Hassani wenyewe thamani ya shilingi bilioni mia mbili na themanini na Sita ambao utatumika katika michuano ya mataifa Afrika AFCON 2027 inayoandaliwa na nchi za Tanzania, Kenya na Uganda Akizungumza na waandishi wa…
WAKIWA na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, Waarabu wa Misri uongozi wa Simba umebainisha kuwa kambi yao itakuwa Zanzibar kwa maandalizi. Timu hiyo inaiwakilisha Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo wao wa hatua ya robo fainali unatarajiwa kuchezwa Machi 29 Uwanja…
Binadamu wa kawaida ni muhimu kuwa na ndoto zako unazozifikiria haswa kwenye maisha, kubwa Zaidi kila mtu naamini huwa kutoboa kimaisha na kuwa na pesa nyingi. Lakini shida huwa kwenye mbinu au biashara gani ya kuifanya itakayokupatia mkwanja mrefu! Ingia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna mchezo unaitwa Super Heli unatoa ushindi na zawadi kibao kila…
WABABE ndani ya Ligi Kuu Bara, Yanga na Azam FC wapo kwenye kesi nyingine nzito ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kila mmoja kupambania kutimiza malengo ndani ya uwanja
MWAMBA Prince Dube anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Simba ambao wanahitaji kuipata saini yake kwa ajili ya kuiboresha safu ya ushambuliaji ya timu hiyo. Ikumbukwe kwamba ikiwa Simba watapata saini ya nyota hiyo kuna wachezaji watakaopewa mkono wa asante kwenye upande wa ushambuliaji.
BAADA ya Hemed Morocco kutangaza orodha ya wachezaji watakaokuwa katika timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, safari imeanza kwa ajili ya kuelekea Azerbaijan ambapo wanatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki. Tayari kikosi cha Taifa Stars kimewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Istanbul, Uturuki muda wowote kitakwe pipa kuelekea Baku, Azerbaijan kwenye mashindano ya FIFA…
WASHINDI wa tuzo ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na Beki ya Taifa NBC kwa Februari wamekabidhiwa tuzo zao huku makubwa yakiahidiwa. Yote hayo yalifanyika Machi 17 2024 ambapo NBC ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa kocha bora wa ligi hiyo wa mwezi Februari. Ni Miguel Gamond kutoka Klabu ya Yanga alitwaa tuzo ya…
Joker Ice Frenzy Epic Strike ni sloti iliyopo kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina nguzo tano zilizopangwa kwenye mistari mitatu yenye njia 20 za malipo. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima kupata alama tatu au zaidi kwenye mstari wa malipo. Mtirirko wowote wa ushindi, isipokuwa wale wenye alama za sketi na bonasi za kasino…
MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…
LEGEND kwenye masuala ya uandishi Bongo katika habari za michezo Saleh Ally ameweka wazi kwamba Simba wanapaswa wasifurahie kupangwa na Al Ahly hatua ya robo fainali bali wafanye mipango makini kuimaliza mechi Uwanja wa Mkapa kutinga hatua ya nusu fainali
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamekomba pointi tatu mazima kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Azam FC 2 -1 Yanga. Mabao ya yamefungwa na Feisal Salum dakika ya 51 na Gibril Sillah dakika ya 19 kwa Azam ni…