BEKI WA CHELSEA, WESLEY FOFANA AOMBA MSAMAHA WACHEZAJI WENZAKE
Beki wa Chelsea, Wesley Fofana amevunja ukimya kuhusu sakata la ubaguzi wa rangi la kiungo Enzo Fernandez na kubainisha kuwa Muargentina huyo sio mbaguzi baada ya kuwaomba msamaha wachezaji wenzake wa Chelsea. Mapema mwezi huu Enzo akiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa alionekana kwenye video iliyovuma kwenye mitandao ya kijamii akiimba nyimbo za kibaguzi…