SIMBA WAMEPIGWA NA KITU KIZITO NA YANGA
SIMBA wamepigwa na kitu kizto na Yanga kwenye usiku wa tuzo msimu wa 2023/24 kutokana na wachezaji wengi kutoka katika kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi.
SIMBA wamepigwa na kitu kizto na Yanga kwenye usiku wa tuzo msimu wa 2023/24 kutokana na wachezaji wengi kutoka katika kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi.
HATIMAYE usiku wa tuzo za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 umegota mwisho na kila kitu kuwa wazi nani amekuwa nani baada ya tuzo hizo. Kwenye kikosi bora cha msimu nyota wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wametawala kila kona huku kwa upande wa Simba ambao ni watani zao wa jadi mchezaji…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba Sc, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameteua Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo ambayo itakuwa na wajumbe saba. Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo Agosti 1, 2024 imebainisha Wajumbe hao walioteuliwa ambao ni Mohamed Nassor, Azan Said, Richard Mwalwiba, Nicky Magarinza, Juma Pinto, Farid Nahdi na Farouk Baghozah.
Kiungo wa Azam Fc, Faisal Salum ‘Feitoto’ ameshinda tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB Federation Cup 2023/24) kwa msimu wa 2023/24.
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24. Aziz Ki ametwaa tuzo nne ambazo ni tuzo ya MVP, Kiungo bora wa Ligi Kuu, mfungaji bora wa Ligi Kuu na Tuzo ya Kikosi bora cha msimu. Pia Aziz Ki ameshinda…
Beki wa Yanga Sc na Timu ya taifa ya Tanzania, Ibrahim Bacca ameshinda tuzo ya beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24.
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP). Diarra amewashinda Khomein Abubakar kutoka Ihefu (Singida Black Stars) na Mohamed Mustafa kutoka Azam Fc.
Mlinda mlango wa Coastal Union, Ley Matampi ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara Msimu wa 2023/2024 akiwashinda Djigui Diarra wa Yanga na Ayoub Lakred wa Simba SC.
Kasino ya Meridianbet inakupeleka hadi kwenye msitu wenye wanyama pori ambao, watakupa ushindi muda wowote unapokutana nao. Jisajili Meridianbet kisha ingia upande wa Kasino ya Mtandaoni. Katika Kasino ya Mtandaoni Meridiannbet kuna Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Suala la kuchagua Meridianbet basi umechagua ushindi…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamezindua uzi mpya kwa ajili ya msimu wa 2024/25 ambao ni bora kwelikweli ukiwa ni mtoko wa Dunia. Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Bruno Ferry akishirikiana na Yusuph Dabo ina kibarua cha kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kugotea nafasi ya pili kwenye msimamo….
Wild Corrida ni mchezo wa kasino unaonesha onyesho utamaduni wa mapigano ya ng’ombe na ni maarufu sana nchini Hispania na Ureno. Jisajili Meridianbet upate bonasi ya ukaribisho ya 300% Mchezo huu wa kasino ya Mtandaoni ulioandaliwa na mtengenezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Mchezo huu wa kasino umejaa bonasi za Kasino, hivyo hakuna…
FEISAL Salum anaingia kwenye orodha ya nyota waliofanya kazi kubwa kwenye kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja akiwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Bruno Ferry msimu wa 2023/24. Kwa mujibu wa mchambuzi wa mpira Bongo Mohamed Mohamed maarufu kama Dr Mo amebainisha kuwa kiungo huyo anastahili tuzo yake binafsi kutokana na jitihada kubwa…
MWAMBA Aziz Ki ndani ya msimu wa 2023/24 alifunga jumla ya mabao 21 katika Ligi Kuu Bara ndani ya uwanja akiwa na tuzo yake mkononi kwa sasa ambayo ni ile ya mfungaji bora. Ki ni namba moja kwa watupiaji wa mabao ndani ya ligi alipofunga jumla ya mabao 21 kati ya 71 na alitoa pasi…
KUELEKEA Simba Day Agosti 3 2024 uongozi wa Simba umebainisha kuwa mashabiki wamefanya jambo kubwa ambalo linastahili pongezi kwa kununua tiketi zote za tamasha hilo linalosubiriwa kwa shauku kubwa kwenye ulimwengu wa michezo. Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amewashukuru mashabiki wa timu hiyo kwa kufanikisha jambo hilo kwa kununua tiketi zote licha ya kuwa…
AZIZ Ki na Feisal Salum vita yao kwenye rekodi ilikuwa ngoma nzito kutokana na kila mmoja kupambana kufikia malengo yao kwa msimu wa 2023/24 na mwisho Aziz Ki alikuwa namba moja kwenye utupiaji akiwa na mabao 21 Fei mabao 19.
Beki wa Chelsea, Wesley Fofana amevunja ukimya kuhusu sakata la ubaguzi wa rangi la kiungo Enzo Fernandez na kubainisha kuwa Muargentina huyo sio mbaguzi baada ya kuwaomba msamaha wachezaji wenzake wa Chelsea. Mapema mwezi huu Enzo akiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa alionekana kwenye video iliyovuma kwenye mitandao ya kijamii akiimba nyimbo za kibaguzi…
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City na Leicester City, Kelechi lheanacho amejiunga na klabu ya Sevilla ya Uhispania kwa uhamisho huru. lheanacho (27) raia wa Nigeria amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia klabu hiyo mpaka Juni 2026 na chaguo la kuongezeka mpaka 2027.