CAFCL: Sare Kabylie na AS FAR, Yanga Yapata Matumaini
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kundi B imeendelea kwa ushindani mkubwa huku kila timu ikiwa tayari imecheza mechi tatu za awamu ya makundi. Katika matokeo ya mwisho: JS Kabylie 0-0 AS FARMechi kali iliyochezwa kwa tahadhari kubwa, timu zote zikigawana pointi moja bila kufungana. Al Ahly 2-0 Yanga SCMabingwa hao wa Afrika walionyesha…