WAZIRI MKUU MAJALIWA AFIKA LILIPOPOROMOKA JENGO KARIAKOO – ATOA TAMKO la SERIKALI…

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kushirikiana na Kamati za Ulinzi kuhakikisha manusura waliofukiwa na kifusi cha ghorofa lililoporomoka Wanaokolewa Aidha, Waziri Mkuu ameagiza Mitungi ya Hewa ya #Oxygen ipelekwe kwenye eneo hilo ili kuwasaidia manusura waliopo chini ambao bado hawajaokolewa wakati zoezi la uokozi likiendelea Hadi sasa watu kadhaa…

Read More

RUSHWA YA NGONO SABABU YA KUDUMAZA VIPAJI KWA WANAWAKE

SOKA la Wanawake linazidi kukua kila iitwapo leo kutokana na wachezaji kupata fursa ya kucheza kitaifa na kimataifa. Yote haya yanatokana na jitihada ambazo zinafanyika kila siku kwenye kupunguza changamoto huku rushwa ya ngono ikitajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazodumaza vipaji hivyo ni muhimu kwa wahusika kutoipa nafasi kuokoa vipaji vingi. Suala la ukatili kwa…

Read More

YANGA MBELE YA JKT TANZANIA REKODI HIZI HAPA

CHINI ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Yanga walikomba pointi tatu mazima baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Yanga 2-0 JKT Tanzania. Hapa tunakuletea baadhi ya rekodi za wachezaji wa timu zote mbili namna hii:- DJIGUI DIARRA Kipa namba moja wa Yanga mchezo wake wa sita mfululizo ambazo ni dakika 540 amekaa langoni…

Read More

TIRA YAJA NA SULUHISHO HILI KUHUSU MALAMIKO YA WATEJA

OKOKA Mgavilenzi, Meneja Utekelezaji Sheria na kushughulikia malalamiko, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tazania, (TIRA) amesema kuwa wateja wanaopata matatizo kwenye soko la bima wanachotakiwa kufanya ni kufika kwenye mamlaka na watashughulikia haraka. Mgavilenzi amesema kuwa wametoea elimu kwa Tanzania Insurance Brokers, (TIBA) kwa lengo la kuongeza ufanisi na weledi sokoni kwenye kutoa huduma kwa…

Read More

AJALI YA NDEGE YAUWA WATU 61 BRAZIL

Ndege chapa ATR 72-500 inayomilikiwa na kampuni ya Voepass ilianguka jioni ya jana katika mji wa Vinhedo, wakati ikitokea jimbo la kusini la Parana kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sao Paulo. Juhudi za kuipata na kuitambua miili zilikuwa zinaendelea hadi alfajiri ya leo. Mamlaka ya ajali za anga ya Brazil, CENIPA, imetangaza kuanza…

Read More

Unataka Kuwa Milionea? Cheza Kasino Sasa

Winning Clover 5 Extreme ni sloti ya kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu, mistari mitano ya ushindi. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Jisajili na Meridianbet ushinde Mamilioni.   Unapocheza kasino ya mtandaoni hii ukipata bahati ya kupata alama nyekundu ya…

Read More

MERIDIANBET YATOA MSAADA KWA WAKAZI WA KIBAHA

Kwa mara nyingine Meridianbet wamefanikiwa kufika wilaya ya Kibaha na kutoa msaada katika eneo hilo katika makundi mbalimbali ya kijamii. Wababe hao wa michezo ya kubashiri wameendelea kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yao inayowazunguka, Ambapo wamefanikiwa kuwagusa makundi mawili ya kijamii ambapo wametoa msaada familia duni pamoja watu wenye ulemavu wa ngozi (Ualbino) Mabingwa hao wa…

Read More

KAMPUNI na UBALOZI WASITISHA MKATABA na KIPANYA KISA TUHUMA za MWIJAKU – WAKILI AFICHUA HASARA KUBWA

Wanasheria wanaomwakilisha Masoud Kipanya, wamewaambia waandishi wa habari kwamba kwene barua walitomuandikia Mwijaku, walimueleza kuwa anatakiwa kumlipa mteja wao kiasi cha shilingi bilioni tano kama fidia kwa kumchafua na kutoa tuhuma za uongo dhidi yake. Wakili Aloyce Komba kutoka kwa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza Advocates anayemwakilisha Kipanya kwa niaba ya mawakili wenzake, wamezungumza…

Read More

LIVE BUNGENI: WAZIRI MWGULU ANAWASILISHA MAKADIRIO NA MATUMIZI YA BAJETI KUU YA SERIKALI 2024/2025

Serikali imesema bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 imelenga kutekeleza vipaumbele vitakavyojikita katika kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu” pamoja na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2024/25. Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameyataja maeneo ya vipaumbele yaliyoainishwa katika mpango huo kuwa ni pamoja na…

Read More

MICHEZO ISIYO YA KIUNGWANA ISIPEWE NAFASI

KILA siku tunashuhudia ushindani mkubwa kwenye mechi ambazo zinachezwa ndani ya uwanja wa kila timu kupambania kupata ushindi hilo ni jambo la msingi ambalo linapaswa kuwa endelevu. Wakati haya yanaendelea kumekuwa na tatizo la wachezaji  kuendelea kutumia nguvu nyingi na wakati mwingine kucheza faulo hata pale ambapo haihitajiki kabisa. Muhimu kuongeza umakini na kuendelea kucheza…

Read More

RAIS MSTAAFU MWINYI ALAZWA KWA MARADHI YA KIFUA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amewekwa chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari baada ya kupelekwa Hospitali kutokana na kuugua maradhi ya kifua Taarifa ya Msemaji wa Familia, Abdullah Ali Mwinyi imeeleza kuwa kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa anapatiwa matibabu…

Read More