Baada ya Kicheko sasa ni Popote kutoka wa SYC
BAADA ya uzinduzi wa Albamu ya Kicheko kutoka kwa Sinza Youth Choir, (SYC) kutoka KKKT-DMP Usharika wa Sinza, sasa ni uzinduzi wa wimbo mpya unaoitwa Popote. Hii ni kazi nyingine ambayo malengo makubwa ni kuitangaza injili mjini na vijijini kwa njia ya uimbaji ikiwa ni mwendelezo wa kazi nyingine mpya kutoka SYC. Septemba ilikuwa ni…