
MSUVA ATAJWA SIMBA,YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Wydad Casablanca, Mtanzania Simon Msuva amekiri kufuatwa na kufanya mazungumzo na timu kongwe za Simba na Yanga kwa ajili ya kumsajili kuelekea msimu ujao. Kiungo huyo hivi sasa yupo nchini akisubiria hatima ya kesi yake inayoendelea Fifa dhidi ya klabu yake hiyo anayoichezea ya Casablanca. Msuva amesema kuwa hivi karibuni ataweka wazi…