
VIDEO:ASHA BARAKA:TUTASHINDA,TUSIKATE TAMAA
ASHA Baraka shabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amebainisha kuwa licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Uganda kuna nafasi ya kupata ushindi mchezo ujao Uganda ambao utakuwa wa marudio Septemba 3