
VIDEO:SHABIKI WA SIMBA AMVAA STAA WA YANGA AZIZ KI
HUYU hapa shabiki wa Simba akizungumzia umuhimu wa mechi yao dhidi ya Al Hilal huku akimzungumzia Aziz KI wa Yanga pamoja na makosa ya Simba kwenye mchezo dhidi ya Jwaneng Galax
HUYU hapa shabiki wa Simba akizungumzia umuhimu wa mechi yao dhidi ya Al Hilal huku akimzungumzia Aziz KI wa Yanga pamoja na makosa ya Simba kwenye mchezo dhidi ya Jwaneng Galax
AHMED Ally, Meneja Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wanajipanga kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Uwanja wa Mkapa ambapo tayari wachezaji wameanza mazoezi
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Uhuru kusoma KMC 0-0 Ruvu Shooting, Oktoba 7,2022 hesabu za wazee wa pira kodi ni kuelekea mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala ameweka wazi kuwa maandalizi yanakwenda sawa na wachezaji wana morali kubwa kuelekea mchezo huo. Christina amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema mashabiki watakaojitokeza Uwanja wa Mkapa watakutana na bendera za rangi nyekundu na nyeupe ili kuongeza nguvu kwenye kushangilia kwa kuzipunga juu kama walivyofanya Simba Day. Aidha ameongeza kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto, Oktoba 16,2022 Uwanja wa…
MPANGO unaanza kusukwa upya kwa ajili ya Yanga kuikabili Al Hilal ugenini mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, Nasreddine Nabi amesisitiza umakini kwa wachezaji wake kwenye kutumia mapigo huru ikiwa ni kwa kiungo Bernard Morrison na Aziz KI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kimekuwa na moto kwenye safu ya ushambuliaji huku ukuta wao ukiwa haujaruhusu mabao mengi kwenye mechi za ushindani. Simba ikiwa imecheza jumla ya mechi 8 za mashindano, ligi mechi tano na Ligi ya Mabingwa Afrika mechi tatu imetupia jumla ya mabao 18 huku safu ya ulinzi…
MPAGO mpya unasukwa na Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Hilal unaotarajiwa kuchezwa ugenini wikendi hii. Ni kwenye mapigo ya mipira iliyokufa ambayo wamekuwa wakiipata kwa kuwataka wapigaji kutulia huku wao wakipunguza makosa wakiwa karibu na eneo lao la hatari. Bernard Morrison na Aziz KI wamekuwa wakipewa majukumu…
SIMBA ugenini dhidi ya de Agosto ilipata ushindi wa mabao 3-1 ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda, zijue siri tatu za ushindi Angola
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewatuliza Yanga kwa kubainisha kuwa bado wana nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kwa kuwa wanajipanga kuelekea mchezo wa marudio kupata ushindi
MCHAMBUZI Ambangile ameweka wazi kuwa Simba wametoa somo kwa watani zao wa jadi kimataifa pia amemzunguzia Juma Mgunda
AHMED ameweka wazi kuwa faida ya bao ambalo wamepata Al Hilal Uwanja wa Mkapa unawapa fursa ya kuweza kusonga mbele ikiwa matokeo yatabaki Yanga 1-1 Al Hilal kimataifa
AL Hilal watakoma, mabosi Yanga wavamia kambini, Moses Phiri atangaza hali ya hatari CAF ndani ya Championi Jumatano
BALAA kwelikweli ndani ya Liverpool ambayo mwendo wake ni mbovu msimu wa 2022/23. Kocha Jurgen Klopp anazidi kupasua kichwa kutokana na taarifa mbaya kuhusu mshambuliaji wake Luis Diaz kwamba atamkosa mpaka mwisho wa Kombe la Dunia. Hayo yote yametokana na maumivu ya goti aliyopata wakati Liverpool ilipoambulia kipigo cha mabao 3-2 dhidi ya Arsenal, Jumapili…
MZEE wa saluti hana ushikaji na makipa ndani ya Ligi Kuu Bara pale anapopata nafasi kwa kuwa amekuwa akiwadhibu namnaanavyotaka iwe nje ya 18 ama ndani ya 18. Ni Moses Phiri raia wa Zambia ambaye ni namba moja kwa utupiaji kwenye kikosi hicho akiwa ametupia mabao manne, tupo naye kwenye mwendo wa data namna hii:-…
MELIS Medo, ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Dodoma Jiji kwa msimu wa 2022/23. Kocha huyo anachukua mikoba ya Masoud Djuma ambaye alifikia makubaliano ya kuachana na timu hiyo Oktoba 10,2022. Sababu kubwa ya Djuma ambaye aliwahi kuwa kocha msaidizi ndani ya Simba ni kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo msimu wa 2022/23…
NYOTA wa Manchester City, Erling Haaland ameendelea kuweka rekodi katika safari yake ya soka akifanikiwa kufunga mabao zaidi ya 20 kwa misimu minne mfululizo. Haaland ameendelea kuwa tishio ndani ya Premier League msimu huu ikiwa ni mara ya kwanza kwa nyota huyo kucheza hapo. Ndani ya Premier League, Haaland amefunga mabao 15, ambapo amefunga katika…
KIUNGO wa Brighton Mzambia, Enock Mwepu amelazimika kustaafu soka akiwa na miaka 24 baada ya kubainika kuwa ana matatizo ya moyo. Mwepu alijiunga na Brighton akitokea Red Bul Salzburg msimu uliopita kwa dau la pauni milioni 18 na msimu huu amecheza mechi sita za Premier. Tatizo lake lilianza kubainika wakati wa mapumziko ya timu za…