AZAM FC YAWAITA MASHABAKI KUIZOMEA KMC
UONGOZI wa Azam FC umewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex leo kuwazomea wapinzani wao KMC ili kuwamaliza mapema kwenye mchezo wa ligi. Timu hiyo ikiwa imetoka kuambulia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar,leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC FC. Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit…