Saleh

SALAH AWAONYA REAL MADRID, ATAKA KULIPIZA KISASI FAINALI UEFA

MADRID, Hispania STRAIKA wa Real Madrid, Mohamed Salah, ameshuhudia Real Madrid ikiichapa Manchester City na kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa, akafurahi na kusema: “Hawa ndio nawataka nijilipizie kisasi.” Salah amesema anawasubiri kwa hamu Real Madrid Mei 28 jijini Paris akitaka kulipiza walivyomuumiza moyo miaka minne iliyopita, alipogongwa na Sergio Ramos akaumizwa mkono, kisha Liverpool…

Read More

NYOTA MAN UNITED AWA MUUZA SAA

MANCHESTER, England NYOTA wa zamani wa Manchester United, Ramon Calliste ambaye alitamba utotoni na akina Cristiano Ronaldo na Wayne Rooney, ameliacha soka na kuwa muuza saa za kisasa. Calliste alikuwa akitajwa kama Ryan Giggs ajaye, alitamba katika timu ya vijana ya United. Hata hivyo, jeraha baya la enka alilopata mwaka 2006, lilimlazimisha astaafu soka mapema….

Read More

LIVERPOOL INAKARIBIA MAKOMBE 4 KWA MSIMU HUU

LIVERPOOL baada ya kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya juzi, sasa kuna uwezekano wa miamba hiyo ya Anfield kutwaa makombe manne makubwa ‘quadruple’ ndani ya msimu mmoja. Itakuwa ni historia na rekodi ambayo haijawahi kuwekwa England. Liverpool iliichapa Villarreal 3-2 ugenini juzi nchini Hispania, na kuwaondoa vijana hao wa kocha Unai Emery kwa jumla…

Read More

PACHA WA INONGA, SIMBA KIMEELEWEKA

SIMBA imefikia makubaliano mazuri na beki wa kati anayekipiga Cape Town City ya nchini Afrika Kusini, Mkongomani, Nathan Idumba. Idumba anasajiliwa na Simba kwa ajili ya kucheza pacha na Mkongomani mwenzake Henock Inonga ambaye ndiye beki tegemeo hivi sasa katika kikosi cha Mhispania, Franco Pablo.   Kutua kwa Idumba katika kikosi cha Simba, kutafungua njia…

Read More

VIDEO:IBWE AFUNGUKIA KUTANGAZA SARE ZA SIMBA

HASHIM Ibwe,mtangazaji wa Azam TV ameweka wazi sababu inayofanya kila anapotangaza mechi za Simba matokeo kuwa ni sare ndani ya dakika 90 kwa msimu wa 2021/22. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliokamilika kwa suluhu kisha mchezo wa pili ulikuwa ni ule dhidi ya Namungo FC uliochezwa Uwanja wa Ilulu na ubao ulisoma Namungo…

Read More

ARTETA YUPO ARSENAL MPAKA 2025

KLABU ya Arsenal imemuongezea dili jipya Kocha Mkuu Mikel Arteta hivyo atakuwa hapo mpaka mwaka 2025 akikinoa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu England. Pia kocha wa timu ya Wanawake, Jonas Eidevall yeye atakuwa ndani ya timu hiyo mpaka msimu wa 2023/24 ndani ya timu hiyo. Arteta, alijiunga na timu hiyo mwaka 2019,ameweza kuiongoza timu hiyo…

Read More

BEKI INONGA WA SIMBA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

BEKI wa Klabu ya Simba inayonlewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco, Henock Inonga leo Mei 6 amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player of the Month) ya mwezi Aprili. Tuzo hiyo ameweza kuitwaa baada ya kuwashinda mabeki wenzake ambao ni Shomari Kapombe na Joash Oyango ambao waliingia kwenye fainali…

Read More

MOURINHO WA AS ROMA AWEKA REKODI

JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Klabu ya AS Roma ya nchini Italia Jose Mourinho ‘The Special One’ raia wa Ureno kaweka rekodi mpya kwenye ulimwengu wa michezo. Kocha huyo mbabe wa kauli ameweza kuzinoa timu mbali Ulaya ikiwa ni pamoja na FC Porto, Chelsea, Inter Milan, Real Madrid, Manchester United na Tottenham Hotspurs. Mourinho ameweka…

Read More

SARE ZAWAPA HASIRA YANGA

CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa matokeo ya sare ambayo wameyapata kwenye mechi za ligi hivi karibuni hayajawatoa kwenye mstari badala yake yamewaongezea hasira ya kuzidi kupambana. Kwenye mechi mbili mfululizo za ligi mbele ya Simba na Ruvu Shooting vinara hao wa ligi waliambulia pointi mbili katika msako wa pointi 6. Akizungumza na…

Read More

GUARDIOLA HANA UHAKIKA KABISA

KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa hana uhakika kuwa kama kipigo mbele ya Real Madrid kitaleta madhara ya kisaikolojia kwa wachezaji wake wa Manchester City kwenye mbio za kusaka ubingwa. City walitupwa nje na Real Madrid na baada ya kipyenga cha mwisho wachezaji walianguka uwanjani kwa huzuni baada ya kushuhudia faida ya…

Read More