
NABI KUWASHANGAZA MARUMO, HAWA HAPA KUKOSEKANA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amepanga kuwashangaza wapinzani wake Marumo Gallants kutokana na mpango kazi atakaotumia kwenye mchezo huo kuwa tofauti na ule wa awali. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 2-0 Gallants na mabao yakifungwa na Aziz KI na Bernard Morrison. Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa kutakuwa…