
HII YA YANGA IMEENDA MABORESHO YANAHITAJIKA
HATIMAE SportPesa Wiki ya Mwananchi 2023 imeenda na kweli imekuwa hivyo kwa namna ambavyo walikuwa wamepanga. Mpangilio mzima wa matukio na namna ambavyo mashabiki walijitokeza kuona burudani hizo. Hatua moja kila wakati mbali na mchezo wa kimataifa wa kirafiki ambao ulikamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 1-0 Kaizez Chiefs bado kazi imeonekana….