
PAPE SAKHO HUYO ULAYA
RASMI Simba SC imefikia makubaliano na Klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa kumuuza mchezaji Pape Sakho. Kiungo huyo ni miongoni mwa viungo bora wenye mambo mengi ndani ya uwanja akiwa na mtindo wa ushangiliaji wa kunyunyiza. Moja ya mabao aliyofunga ndani ya Simba ilikuwa dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya…