
SIMBA YAMCHAPA MBABE WA MTANI
POINTI tatu Simba wamezikomba mbele ya mbabe wa mtani wao wa jadi, Yanga kwa msimu wa 2023/24 ambaye ni Ihefu. Ni mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 28 2023 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-1 Ihefu. Mabao ya Simba yalifungwa na Jean Baleke dakika ya 13 likawekwa usawa na Ismail Mgunda…