
YANGA NA SIMBA ZAKOMBA TUZO
WAKATI ikiwa ni presha ya kuelekea Kariakoo Dabi inayotarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 5 2023 Yanga na Simba zimesepa na tuzo. Ni tuzo ya mchezaji bora ambayo imekwenda Yanga kwa nyota Aziz KI akiwashinda wachezaji wenzake alioingia nao fainali ikiwa ni Maxi Nzengeli wa Yanga na Moses Phiri wa Simba. KI kwa Oktoba alikuwa…