Saleh

KIUNGO MGUMU KAANZA NA REKODI YAKE SIMBA

KIUNGO wa kazi ngumu, Sadio Kanoute ameanza na rekodi yake mbele ya kocha mpya, Abdelhak Benchikha kwa kuwa nyota wa kwanza kuonyeshwa kadi ya njano katika mchezo wa kwanza kukaa benchi. Ikumbukwe kwamba Benchikha ni mrithi wa mikoba ya Roberto Oliveira, mchezo wake wa kwanza kukiongoza kikosi cha Simba ilikuwa Desemba 2, alishuhudi ubao ukisoma…

Read More

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamond Desemba 8 ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Ni Joyce Lomalisa huenda akakosekana baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Gamondi ameweka wazi kuwa kuna nyota wawili ambao watabeba mikoba…

Read More

MANCHESTER CITY MAMBO SIO MAMBO LIGI KUU YA UINGEREZA

Mambo yanaonekana kuwaendeo kombo mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City, Kwani mpaka sasa wamecheza michezo minne ya ligi kuu ya Uingereza hivi karibuni na hawajapata matokeo ya ushindi katika mchezo wowote. Matokeo ya hivi karibuni ya klabu hiyo ambayo imetawala ligi kuu ya Uingereza kwa miaka saba nyuma hayaleti picha…

Read More

KOCHA SIMBA APENYA TATU BORA CAF

KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amepenya katika orodha ya makocha watatu bora wanaowania tuzo za CAF 2023. Ikumbukwe kuwa kocha huyo ni mrithi wa mikoba ya Roberto Oliveira aliyefutwa kazi kutokana na kupoteza mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya watani wa jadi Yanga. Oliveira alikuwa shuhuda ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5…

Read More

SAFU YA ULINZI INASUKWA UPYWA NA GAMONDI YANGA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watafanyia kazi makosa katika mechi za kimataifa upande wa ulinzi ili kutoruhusu mabao mengi ya kufungwa. Ipo wazi kuwa katika mechi mbili ilizoshuka uwanjani hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, ukuta wa Yanga uliokota mabao manne, ugenini dhidi ya CR Beloizdad ilitunguliwa mabao matatu na…

Read More

THANK YOU KWA MAKOCHA ZIZINGATIE MAKUBALIANO

ILE kauli ya makocha wanaajiriwa ili wafukuzwe isiwe kigezo cha kila timu kumfukuza kocha pale wanapokosa wanachokitarajia kwenye mechi husika. Ipo wazi kuwa kuna mengi ambayo yanamzunguka kocha kwenye mpango kazi wa kusaka matokeo. Inawezekana viongozi wanatambua makosa yalipo wanashindwa kuyatatua kwa wakati. Muda mwingine ni aina ya wachezaji waliopo kushindwa kwenda na kasi iliyopo…

Read More

SIMBA: TUNAANZA NA WYDAD LIGI YA MABINGWA

BAADA ya kukosa ushindi katika michezo miwili ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imepanga kuanza kupata ushindi dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco. Simba imevuna pointi mbili pekee ikicheza michezo miwili ya Kundi B katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Jwaneng Galaxy…

Read More

MAN UTD YAITANDIKA CHELSEA OLD TRAFFORD 2-1

Shughuli imemalizika, alama tatu muhimu kwa Mashetani Wekundu katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 2-1 Chelsea ⚽⚽ McTominay 19’ 69’ ⚽ Palmer 45’ Manchester United imefikisha alama 27 baada ya mechi 15 ikikwea mpaka nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Chelsea inasalia nafasi ya 10 alama 19 baada ya mechi…

Read More

MAN UNITED VS CHELSEA KIPUTE CHA WABABE

Jumatano hii inapigwa mechi ya kibabe sana katika ligi kuu ya Uingereza kati ya klabu ya Manchester United dhidi ya Chelsea ambao watakua ugenini katika dimba la Old Trafford, Mchezo ambao ukawepo kwenye tovuti ya Meridianbet. Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet ambapo unamuwezesha mteja kujishindia maokoto ya kutosha, Huku wakiwa wamepewa fursa ya…

Read More

CHAMA KALIAMSHA HUKO NDANI YA SIMBA

CLATOUS Chama, mwamba wa Lusaka ameanza kujipata taratibu baada ya kuonyesha ubora uliokosekana kwa muda mrefu ndani ya uwanja. Chini ya Roberto Oliveira, mchezo wa mwisho kufanya umwamba ilikuwa dhidi ya Power Dynamos alipofunga mabao mawili, ubao uliposoma Power Dynamos 2-2 Simba baada ya hapo hakuwa kwenye ubora wake. Ikumbukwe kwamba alikuwa ndani ya Uwanja…

Read More

PATA BONASI YA KASINO MPAKA 2,500,000/= TZS UKIJISAJILI MERIDIANBET

Unaijua 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya unapojisajili, ukaongeza salio kwenye akaunti yako kisha kucheza kasino ya mtandaoni au kubashiri soka unapatiwa bonasi ya mgao wa 2,500,000/=TZS Kila mchezaji aliyejisajili  kwenye tovuti  ya Meridanbet.co.tz au Meridianbet APP na kuweka pesa  kwa mara kwanza kiasi kinachoanzia  TZS 10,000  na zaidi kisha kucheza …

Read More

TWIGA STARS YATUSUA WAFCON UGENINI

BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars ambayo  imefuzu kucheza mashindano ya WAFCON 2024 yatakayofanyika nchini Morocco.amesema kuwa jitihada za kupata ushindi zilishindikana lakini wachezaji walijituma. Twiga imefuzu baada ya ushindi wa jumla wa mabao 3-2 dhidi ya Togo ambapo kila mmoja kashinda kwenye mechi aliyokuwa nyumbani. Ikumbukwe kwamba Twiga…

Read More