
YANGA WANATARAJIWA KUTANGAZWA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU KWA MARA YA 30
Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Mei 13, 2024 huku macho na masikio yakielekezwa katika dimba la Manungu Complex, Turiani Morogoro ambapo Wananchi wanatarajiwa kutangazwa kuwa Mabingwa wa Ligi Kuu kwa mara ya 30 kihistoria ikiwa watachukua pointi tatu dhidi ya Wakata Miwa. 16:00 | Mtibwa Sugar vs Yanga Sc ?️ Manungu…