
MTANZANIA KUTOKA SPAIN AANDIKA REKODI YA STARS SAUDI ARABIA
ANAITWA Jabir Seif Mpanda ameandika rekodi ya kuitumikia timu ya soka ya taifa ya Tanzania Taifa Stars akiwa amekamilisha miaka 17 na siku 98. Rekodi inayoonyesha kuwa mchezaji mdogo zaidi kuitwa kwa mara ya kwanza na kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Taifa Stars. Jabir anayekipiga katika timu ya U17 ya Getafe ya Hispania…