SportsSAUTI:ZORAN:NILETEENI MANZOKI Saleh2 years ago01 mins ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba anatajwa kuwaambia mabosi wa timu hiyo wamletee Manzoki ili aweze kuongeza nguvu kweye safu ya ushambuliaji, ikishindikana basi atafutwe mwingine kwa ajili ya kuogeza nguvu katia kikosi hicho Post navigation Previous: NABI AOMBA WACHEZAJI WAPEWE ULINZINext: VIDEO:AGGY SIMBA, MZUNGU NDO HABARI YA MJINI