VIDEO:IBWE AFUNGUKIA KUTANGAZA SARE ZA SIMBA

HASHIM Ibwe,mtangazaji wa Azam TV ameweka wazi sababu inayofanya kila anapotangaza mechi za Simba matokeo kuwa ni sare ndani ya dakika 90 kwa msimu wa 2021/22.

Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliokamilika kwa suluhu kisha mchezo wa pili ulikuwa ni ule dhidi ya Namungo FC uliochezwa Uwanja wa Ilulu na ubao ulisoma Namungo 2-2 Simba.