APRILI 30,2022 leo Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga v Simba.
Huenda Pablo Franco, Kocha Mkuu wa Simba akapanga kete zake namna hii:-
Aishi Manula
Zimbwe
Henock Inonga
Joash Onyango
Shomari Kapombe
Pape Sakho
Sadio Kanoute
Jonas Mkude
Clatous Chama
Meddie Kagere
Bernard Morrison.