PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema anatambua mchezo wao dhidi ya Yanga utakuwa mgumu ila watajitahidi kupata ushindi ili kuwapa furaha mashabiki.
Kesho Aprili 30,2022 Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa ligi kati ya Yanga v Simba