NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ni miongoni mwa wale ambao walikuwa Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba v RS Berkane na aliweza kupeana salamu na mkono na Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally.
Kwenye mchezo huo Simba ilishinda bao 1-0 na mtupiaji alikuwa ni Pape Sakho dakika ya 44 na kuifanya Simba kukusanya pointi tatu Uwanja wa Mkapa.