AHMED Ally, Ofisa Habari wa Simba ameweka wazi kwamba wapinzani wao RS Berkane wamekuja katika kipindi kibaya kwa kuwa wachezaji wote wapo fiti kwa ajili ya mchezo huo wa kimataifa ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 13,Uwanja wa Mkapa.