LEO Februari 23, Uwanja wa Manungu unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Yanga majira ya saa 10:00.
Timu hizo zimekuwa na matokeo ya kushangaza kila zinapokutana uwanjani hivyo leo dakika 90 zitaamua nani atakuwa nani.
Haya hapa ni matokeo ya mechi za hivi karibuni walipokutana kwenye ligi:-
Yanga imeshinda mechi tano kwenye mechi 10 ambazo wamekutana kwenye misimu mitano huku Mtibwa Sugar ikiwa imeshinda mechi mbili na sare ni tatu.
2020/21
Yanga 1-0 Mtibwa Sugar
Mtibwa 0-1 Yanga
2019/20
Mtibwa 1-1 Yanga
Yanga 1-0 Mtibwa Sugar
2018/19
Mtibwa 1-0 Yanga
Yanga 2-1 Mtibwa Sugar
2017/18
Mtibwa 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Mtibwa
2016/17
Mtibwa 0-0 Yanga
Yanga 3-1 Mtibwa