BAADA ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho umesoma Yanga 2-1 Biashara United.
Mabao yote yamefungwa kipindi cha kwanza katika mchezo wa leo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa.
Ni Yannick Bangala alianza kupachika bao la kuongoza na bao la pili likafungwa na Fiston Mayele.
Kwa upande wa Biashara United bao lilifungwa na Collins nyota anayevaa jezi namba 37 na bao lake alipachika dakika ya 37.