VIDEO:OSCAR KWA UCHUNGU AZUNGUMZIA GSM KUJIONDOA,ATAJA USELA

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo na mwandishi Oscar Oscar ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa uchungu amezungumzia GSM ambao walikuwa ni wadhamini wa Ligi Kuu Bara kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa ligi, pia amezungumzia suala la usela.