Kila mchezaji anajua kuwa bahati hubadilika, lakini sasa unaweza kufaidika hata siku ambayo haijawa yako. Kupitia Meridianbet, promosheni ya Lucky Friday imeletwa mahsusi kuhakikisha kila Ijumaa inaleta furaha mpya kwa wachezaji wote. Hii ni nafasi ya kugeuza mchezo wako kuwa faida, bila kujali matokeo.
Ushiriki wake ni mwepesi na wenye kuvutia, cheza michezo ya Lucky 6 au Keno siku ya Ijumaa, kisha ujiandae kupokea zawadi yako siku inayofuata. Meridianbet wanakurudishia 10% ya kiasi ulichotumia, wakikupa nafasi ya kurudi mchezoni ukiwa na nguvu mpya na matumaini zaidi.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.
Hakuna kikwazo kikubwa cha kuanza, kwa dau la kuanzia TZS 500 tu, kila mtu anaweza kuingia kwenye burudani hii. Hii ni nafasi nzuri kwa wachezaji wapya kujaribu bahati yao na kwa wale waliobobea kuongeza mikakati yao ya ushindi.
Zaidi ya hayo, kuna kikomo cha kuvutia cha bonasi kinachofikia hadi TZS 25,000 kila wikiendi. Gawio lako litahesabiwa kwa asilimia 10 ya hasara zako zote ndani ya kipindi hicho, jambo linalokupa ulinzi wa ziada na thamani zaidi kwa kila dau unaloweka.
Usiache bahati ikupite, ingia sasa Meridianbet, cheza Lucky 6 au Keno, na uifanye Ijumaa yako iwe ya tofauti. Lucky Friday ni nafasi ya kipekee ya kushinda au kurejeshewa, hivyo kila dau lina maana.