Wikiendi ya Moto CAF Champions League: Vigogo Afrika Washuka Dimbani

Wikiendi hii, mashabiki wa soka nchini wanatarajia burudani ya hali ya juu katika michuano ya CAF Champions League, huku vigogo wa Tanzania wakishuka dimbani kupigania heshima ya taifa kwenye hatua ya makundi.

🏆 Mechi za CAF Champions League – Wikiendi
📅 Jumamosi, 14 Februari 2026
Al Hilal Omdurman vs FC Saint Eloi Lupopo – saa 1:00 PM
Mamelodi Sundowns vs MC Alger – saa 1:00 PM
Esperance Sportive de Tunis vs Petro de Luanda – saa 4:00 PM
Simba SC vs Stade Malien – saa 4:00 PM, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
Pyramids FC vs Power Dynamos – saa 7:00 PM
RSB Berkane vs Rivers United FC – saa 7:00 PM

📅 Jumapili, 15 Februari 2026
Al Ahly vs AS FAR – saa 4:00 PM
Young Africans (Yanga) vs JS Kabylie – saa 4:00 PM, Amaan Stadium, Zanzibar
Mechi hizi ni za hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika na zitakuwa muhimu kwa timu zinazojaribu kuendelea kwenye hatua ya robo Fainali ya mashindano.