
Mechi ya marudiano ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itapigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Kikosi cha Al Ahly Kitakachoivaa Yanga Leo
Mabingwa wa Afrika Al Ahly wanashuka dimbani dhidi ya Yanga katika mechi ya marudiano ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, New Amaan Complex – Zanzibar, jioni ya leo.