Usipitwe na Kipute cha Kombe la Dunia leo – Beti na Shinda Sasa!

Leo hii ni nafasi yako sasa kutimiza zile ndoto zako ambazo uliziweka ndani ya muda mrefu na Meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia. Jisajili na utengeneze jamvi sasa.

Greece atakichapa dhidi ya Scotland ambayo ipo nafasi ya 2 huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 3. Tofauti yao ni pointi 7 hadi sasa huku machaguo zaidi ya 1000 yakiwekwa kwenye mtanange huu hadi sasa. Je nani kuondoka na pointi 3?. Tandika jamvi hapa.

Belgium naye atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Kazakhstan ambao mpaka sasa wana pointi zao 7, huku wageni wao wakiwa na pointi 14 kama vinara wa ligi. Mechi za mbili mwisho walizokutana, Ubelgiji wameshinda zote. Je leo hii nani kushinda?. Jisajili hapa.

Cheza michezo ya kasino leo upige pesa kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia Slovenia atacheza dhidi ya Kosovo ambao mechi yao iliyopita walipata ushindi huku wenyeji wao wakitoa suluhu. Kila timu inahitaji ushindi leo hii kujiweka sawa kwenye nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia mwakani. Machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana kwenye mechi hii. Jisajili hapa.

Switzerland ataumana vikali dhidi ya Sweeden ambapo mara ya mwisho kukutana, mwenyeji aliibuka na ushindi. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 pekee hadi sasa huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA. Suka jamvi lako mechi hii na uibuke bingwa sasa.

Belarus wao watakuwa ugenini dhidi ya Denmark ambao mpaka sasa wana pointi 10 wakiwa kama vinara wa msimamo wa ligi. Mgeni yeye mpaka sasa ndio anashika mkia akiwa hana pointi yoyote hadi sasa. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubeti sasa.

Kule kundi E, kutakuwa na mechi nzuri ya pesa kati ya Georgia dhidi ya Spain ambao wapo kwenye kiwango kizuri kabisa kwnai mpaka sasa wapo kileleni na pointi 12. Mwenyeji yeye ana pointi zake 3 pekee hadi sasa. Je nani kushinda?. Bashiri hapa.

Vilevile nao Turkiye watakipiga dhidi ya Bulgaria ambapo mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Tofauti yao mpaka sasa ni pointi 9 pekee kwani mgeni hadi sasa hana ushindi wowote. Suka jamvi hapa.