Meridianbet Yazindua Promosheni ya “Jisajili, Weka Pesa, Cheza na Ushinde Samsung A26”

Je unajua kuwa unaweza kumiliki Samsung A26 leo hii ukiwa na wakali wa ubashiri?. Si kwingine, bali ni kwenye promosheni yake ya kibabe kabisa ya Jisajili, weka pesa, cheza na ushinde sasa ambayo imekuja mwezi huu Novemba.

Mwezi Novemba umeingia kwa kishindo ndani ya ulimwengu wa michezo ya kubashiri, na Meridianbet kwa mara nyingine tena imeonyesha kuwa ni nyumba ya ushindi kwani kampuni hii imewaletea wateja wake promosheni kubwa zaidi za “Jisajili, Weka Pesa, Cheza na Ushinde Samsung A26.

Kupitia promosheni hii, kila mchezaji anapata nafasi ya kipekee ya kujinyakulia simu mpya aina ya Samsung A26 kifaa cha kisasa kinachoendana na teknolojia ya kisasa, kikiwa na uwezo wa kasi ya juu na ubora unaokidhi ndoto za kila mshindi. Huu ndio wakati wako wa kugeuza kila dau unaloweka kuwa fursa ya kweli ya ushindi.

Promosheni hii ni ya muda wa mwezi mmoja ambayo imeanza toka 01 Novemba na itaenda mpaka tarehe 30 Disemba ambapo mteja wa Meridianbet atatakiwa kujisajili na ubashiri mechi za ligi mbalimbali na pia michezo ya Kasino kama vile Poker, Aviator, na mingine kibao ili ajiweke kwenye nafasi ya washindi.

Chukua simu yako kwenye promosheni ya kibabe ya jisajili, weka pesa cheza na ushide siku ya leo, lakini ongeza mshiko wako kwenye michezo ya kasino kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia Meridianbet wanasisitiza kuwa droo ya kumpata mshindi itafanyika tarehe 10 Disemba mwaka huu na mshindi atatangazwa siku hiyo hiyo ambayo droo imefanyika ili kuhakikisha kuwa mteja anaondoka na simu yake.

Meridianbet inasisitiza kuwa tiketi za Turbo Cash ni batili na hazitatumika wakati wa promosheni hii, hivyo mshiriki inabidi asubiri mpaka mechi zake zote zlizobashiri zimalizike ndipo aweze kujihesabia kama mshindi.

Dau lako lolote linaweza kukufanya uwe mshindi siku hiyo kwani Meridianbet hawajaweka dau maalumu la wewe kushiriki kwenye promosheni hii. Hivyo changamkia fursa leo.