Mabingwa wa soka ya Tanzania Yanga imepangwa Kundi moja la B la hatua ya Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa ya Afrika na miamba ya soka Afrika Ahly ya Misri.
Mbali ya Al Ahly, timu nyingine ambazo imepangwa nazo katika Droo iliyofanyika leo Mjini Cairo, Misri ni ASFAR ya Morocco na JS Kabylie ya Algeria.