Mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye burudani ya kipekee wikiendi hii, ambapo vita ya alama tatu inashika kasi kwenye viwanja mbalimbali vya ligi kuu Uingereza. Kwa wale wanaotafuta faida kupitia bashiri, huu ndio wakati wa kuingia Meridianbet na kusuka mkeka wenye ushindi kupitia odds kabambe zinazopatikana mtandaoni.
Gtech Community Stadium itashuhudia mchezo wa mapema. Brentford watakuwa wenyeji wa mashetani wekundu Manchester United. Brentford wakiwa nafasi ya 17 na alama 4 wanatafuta namna ya kujiweka eneo zuri la msimamo wa ligi, huku United wakisaka kurejea kwenye nafasi za juu wakiwa na alama 7. Odds za mchezo huu ni za kibabe sana kupitia Meridianbet.
Mabingwa wa Dunia Chelsea wanashuka dimbani Stamford bridge kuwakabili vijana wa Fabian Hürzeler, Brighton. Rekodi ya mechi tatu walizokutana awali inaonyesha Brighton wakishinda mara mbili, huku Chelsea wakipata ushindi mara moja. Mechi hii inatarajiwa kuwa na burudani ya kipekee na nafasi tele za kubashiri.
Mbali na EPL, Meridianbet inakupa michezo ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa zenye odds kabambe kila siku. Kujiunga ni rahisi: tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.
Liverpool, mara ya mwisho kukutana na Crystal Palace walipoteza fainali ya Ngao ya Jamii, sasa wanarejea kwa hasira na rekodi ya kutopoteza mchezo wowote wa ligi msimu huu. Wakiwa kileleni na alama 15, vijana wa Arne Slot wanatafuta kuendeleza ubabe wao. Bashiri mechi hii kupitia Meridianbet na uone faida ikikufuata.
Baada ya kulazimishwa sare na Arsenal, Manchester City wanawakaribisha Burnley wakilenga kurejea kwenye ushindi. Burnley wakiwa na ushindi mmoja tu kwenye mechi tano, wanakabiliwa na mtihani mgumu Etihad. Odds za mchezo huu zinatoa nafasi ya kipekee kwa mbashiri mwenye jicho la faida.
Thomas Frank na vijana wake wa Spurs wanakutana na Wolves walioko mkiani bila alama kwenye mechi tano. Tottenham wakiwa nafasi ya tatu wanatafuta kuendeleza kasi yao. Mechi hii ipo wazi kwa bashiri, lakini kumbuka, mpira una matokeo ya kushangaza.
Usikubali wikiendi iishe bila faida, chagua mechi zako, tengeneza mkeka wako, na ushinde kwa odds kabambe Meridianbet.