Carabao Cup: Fuatilia Mechi Kali na Bashiri kwa Odds Bora Leo

Wiki ya kivumbi na ushindani mkali imefika tena. Kombe la Carabao limeingia hatua ya tatu, na jioni ya leo mashabiki wa soka wanatarajia mechi kali zinazowakutanisha wakali wa Uingereza. Kwa wale wanaopenda kubashiri, Meridianbet imeweka mazingira bora ya ushindi kupitia odds zilizopikwa kwa ustadi wa hali ya juu.

Mabingwa wa Dunia ngazi ya Vilabu, Chelsea, wanatua Sincil Bank kukutana na Lincoln City. Mechi hii ni fursa kwa mashabiki kushuhudia tena ubabe wa kikosi cha Enzo Maresca baada ya kipigo kutoka kwa Man United. Meridianbet wameweka odds zinazoweza kukufanya ushinde bila jasho kwenye mchezo huu.

Everton, walioumizwa na kipigo cha derby, hawana muda wa kujuta. Leo wanakutana tena na Wolverhampton Wanderers katika dimba la Molineux. Historia inaonyesha Everton waliwapiga Wolves mara ya mwisho kukutana, lakini je, leo wataweza kurudia tena? Bashiri kwa ujasiri kupitia Meridianbet, odds zipo tayari kwa ajili yako.

Kwa wapenzi wa kasino, leo ni siku ya kuchuma. Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli ni michezo inayoweza kukugeuza mshindi wa papo kwa papo. Usikose kutembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

Liverpool, baada ya kuwazima Everton wikiendi iliyopita, wanarejea Anfield kwa mtanange dhidi ya Southampton. Mechi hii ni ya muhimu sana kwa Arne Slot na kikosi chake katika harakati za kutwaa taji la Carabao. Odds za Meridianbet kwa mchezo huu ni za kuvutia, bashiri sasa na uone matokeo.

Brighton & Hove Albion nao wanakabiliana na Barnsley katika dimba la Oakwell. Ingawa Brighton hawajawa na msimu mzuri kwenye Ligi kuu, mechi hii inaweza kuwa nafasi yao ya kurejea kwenye mstari. Meridianbet wameweka odds za kuvutia kwa mchezo huu pia.

Michuano ya Carabao Cup imejaa msisimko, na Meridianbet ndio lango lako la ushindi. Jisajili kupitia app au tovuti rasmi na uanze kubashiri kwa uhakika.