Manchester United imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Carabao (EFL Cup) kufuatia kipigo cha penalti 12-11 dhidi ya timu ya Grimsby Town Fc inayoshiriki Ligi daraja la nne Nchini England kwenye mchezo wa raundi ya pili wa michuano hiyo katika dimba la Blundell Park.
FT: Grimsby Town Fc 2-2 Man United (12-11)
⚽ 22’ Verman
⚽ 30’ Warren
⚽ 75’ Mbeumo
⚽ 89’ Maguire