HIKI hapa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Morocco, robo fainali CHAN 2024 Agosti 22 2025, Uwanja wa Mkapa.
Yakuob Suleiman mlinda mlango, Shomari Kapombe beki, Mohammed Hussein Zimbwe Jr beki, Ibrahim Bacca beki, Dickson Job nahodha huyu ni beki.
Yusuph Kagoma ni kiungo mkabaji, Idd Nado ni kiungo, Mudathir Yahya ni kiungo, Feisal Salum ni kiungo, Clement Mzize ni mshambuliaji na Abdul Suleiman ambaye ni kiungo mshambuliaji.
Wachezaji wa akiba ni Aishi Manula, Hussen Masalanga, Abdulazack Hamza, Mishano Michael, Ahmed Pipino, Shekhan Khamis, Jammy ,Pascal Msindo, Wilson Nangu, Lusajo Mwaikenda, Elias Lameck, Ibrahim.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.