PLAYSION SHORT RACES, MCHEZO MWEPESI, ZAWADI KUBWA

Meridianbet imezindua tena burudani kali ya kasino mtandaoni, ni Playson Short Races, mashindano ya usiku yanayowasha moto kwa mashabiki wa michezo ya kubahatisha Tanzania. Kuanzia saa 4 usiku hadi saa 8:50 usiku, kila spini yako inaweza kukupandisha kileleni na kukupeleka kwenye ushindi wa mamilioni.

Kila usiku, kuna mashindano 10 yanayoendeshwa kwa kasi, yakitoa nafasi ya kugawana kitita kikubwa cha hadi TZS Bilioni 6 kila mwezi. Kinachohitajika? Ni dau la kuanzia TZS 600 pekee kwenye sloti yoyote inayoshiriki kutoka Playson, na tayari unaingia kwenye mbio.

Hapa hakuna kusubiri, kila ushindi unakupa pointi kwenye leaderboard, na kadri unavyopanda juu, ndivyo unavyokaribia zawadi ya pesa taslimu. Washindi wote hulipwa ndani ya siku tatu za kazi baada ya mashindano kumalizika, moja kwa moja kwenye akaunti zao.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Mashindano haya yameanza tarehe 9 August na yataendelea hadi mwisho wa mwezi huu, na ni maalumu kwa wale wanaocheza kwa pesa halisi pekee. Hii ni nafasi ya mashabiki na watumiaji wa jukwaa la Meridianbet kucheza spini zao, kukusanya pointi, na kuondoka na ushindi mkubwa na wa nguvu kila siku.

Wakati wa kuishi kibingwa sasa ndiyo huu. Jisajili na Meridianbet kupitia tovuti au app maalum ya simu na ushiriki mchezo huu wenye nafasi kubwa ya kukufanya uwe milionea kwa dau dogo kabisa la Tsh. 600/-