Zimebaki Siku Mbili Pekee Kujishindia Samsung Galaxy A25 Mpya

Hii ni simu ya ukumbusho kutoka kwa mpigaji Meridianbet kwenda kwa mpokeaji na ujumbe wake ni mmoja tu, zimebaki siku mbili pekee. Ndiyo, ni siku mbili tu kabla ya pazia kufungwa rasmi kwa promosheni kubwa inayowapa wateja nafasi ya kushinda simu mpya ya kisasa, Samsung Galaxy A25, kupitia Meridianbet.

Mwezi wa Julai umekuwa na mvumo wa promosheni, lakini kama hukuweza kusikia kelele zake hadi sasa, huu ndio muda wa kusikiliza kwa makini. Meridianbet haijaja kwa ahadi hewa, bali kwa zawadi halisi, na sasa wakati wa kuchukua hatua ni huu.

Tangu tarehe 1 hadi 31 Julai 2025, kila mteja wa Meridianbet anayebashiri mechi au kucheza kasino kupitia tovuti au app, anajiwekea tiketi moja kwa moja ya kushiriki katika droo maalum ya tarehe 1 Agosti. Katika droo hiyo, wateja watano tu wataondoka na simu mpya aina ya Samsung Galaxy A25, zawadi ambayo ni ndoto kwa wengi, lakini inaweza kuwa halisi kwako.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Na sasa, kwa kuwa tupo tarehe 29 Julai, tunakukumbusha kwamba muda unaisha, saa zinahesabika, nafasi inazidi kuwa finyu. Hiki ni kipindi cha dakika za majeruhi, ambapo kila dau linahesabiwa na kila hatua unayochukua inaweza kuleta mabadiliko makubwa.

Kushiriki ni rahisi mno, unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet, weka dau lolote kwenye michezo au kasino, na tayari utakuwa umepata tiketi ya kushiriki droo. Kadri unavyoweka beti nyingi, ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kushinda.

Lakini sasa, dau lililowekwa kupitia Turbocash au system tickets halihusiki na promosheni hii, hivyo hakikisha unafuata utaratibu sahihi ili usipitwe.

Kwa hiyo, mpendwa mpokeaji, hii ni simu ya mwisho kabla ya muda kwisha. Taarifa zako kwenye akaunti kama vile jina, namba ya simu na barua pepe, hakikisha ni sahihi. Usikubali jina lako kukosa nafasi kwenye droo kwa uzembe wa dakika ya mwisho.

Zimebaki siku mbili tu! Hii ni nafasi ya mwisho ya kuandika historia yako ya ushindi kupitia Meridianbet. Ingia sasa, cheza, na simama kifua mbele siku ya droo. Bahati haipigi hodi mara mbili.