Meridianbet imezindua promosheni kabambe kwa wachezaji wote wa mchezo maarufu wa Aviator, ikiwa ni nafasi adhimu ya kujishindia simu mpya kabisa za kisasa aina ya Samsung A25. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai 2025, kila wiki wachezaji wawili watakuwa na nafasi ya kushinda simu hizi kwa kushiriki tu kwenye mchezo wa Aviator kupitia tovuti rasmi ya Meridianbet au kwa application ya Meridianbet kwenye simu.
Aviator ni moja kati ya michezo ya kasino mtandaoni inayopendwa zaidi kutokana na urahisi wake na ushindi wa haraka. Mchezo huu unahusisha ndege inayopaa, na kadri inavyopanda juu ndivyo dau lako linavyozidi kuongezeka lakini ni lazima utoe fedha zako kabla ndege haijaruka au kulipuka, vinginevyo unapoteza dau.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Ndani ya kipindi hiki cha promosheni, Meridianbet itatoa jumla ya simu nane, mbili kila Jumatatu, kwa wachezaji waliocheza Aviator mara kwa mara na kwa viwango mbalimbali vya dau. Kila unavyocheza, unajiweka kwenye nafasi kubwa zaidi ya kushinda, huku ukijipatia faida za papo hapo kutoka kwenye mchezo wenyewe.
Ili kushiriki kikamilifu kwenye promosheni hii, ni lazima uwe na akaunti ya Meridianbet, na kwa kufanya hivyo unathibitisha kukubaliana na vigezo na masharti ya promosheni hii. Kampuni inahifadhi haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni wakati wowote kwa sababu maalum.
Usipoteze muda, cheza Aviator leo, jishindie faida ya papo hapo, na uwe miongoni mwa washindi wa simu mpya za Samsung A25 kila wiki katika promosheni kubwa ya mwezi huu kutoka Meridianbet.