Meridianbet, kwa ushirikiano na Airtel Money, imezindua kwa ufahari kampeni ya “Shinda Kibabe na Airtel Money” ambayo inawapa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka fedha kwenye akaunti zao za Meridianbet nafasi ya kushinda zawadi za kipekee. Kuanzia pikipiki mpya ya Bajaj, safari ya siku mbili Zanzibar kwa watu wawili, TV za Hisense, simu 20 za Samsung A25, pamoja na 250 free spins za kila siku kwenye mchezo maarufu wa kasino wa PIA, kampeni hii imejawa na msisimko na fursa nyingi.
Kushiriki ni rahisi sana. Weka angalau TZS 25,000 kupitia Airtel Money (Menu au Push) na utumie kiasi hicho au zaidi kubashiri kwenye michezo au kucheza michezo ya kasino. Kila beti unayoweka inakuongezea nafasi za kuingia kwenye droo za bahati nasibu za kushinda zawadi mbalimbali, na kadri unavyoshiriki zaidi, ndivyo nafasi zako zinavyoongezeka.
Kila siku unapoweka TZS 25,000 au zaidi kupitia Airtel Money, utapokea mara moja 250 free spins kwenye mchezo wa PIA, ambazo zinaweza kubadilishwa hadi TZS 20,000 za pesa halisi, zikikupa nafasi za ziada za kushinda na kufurahia kasino.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kampeni hii inatoa zawadi za thamani kubwa sana. Droo za bahati nasibu, zitakazofanyikia Makao Makuu ya Meridianbet huko Upanga, zitatoa pikipiki ya Bajaj, safari ya Zanzibar kwa watu wawili, na TV za Hisense, huku washindi wakitangazwa hadharani kwa uwazi. Aidha, simu 20 za Samsung A25 zitatolewa kwa wachezaji walioweka kiasi kikubwa cha pesa kupitia Airtel Money wakati wa kampeni.
Hata kama hautashinda katika wiki fulani, Meridianbet itakurejeshea 10% ya hasara zako za kubashiri kuanzia Jumatatu hadi Jumapili kama bonasi, hadi TZS 2,500,000 kila wiki kwa wachezaji waliokidhi masharti.
Kampeni hii ilianza rasmi tarehe 23 Mei 2025 na itaendelea hadi 23 Agosti 2025 saa 11:59 usiku. Ili kushiriki, lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi na uwe na akaunti halali ya Meridianbet.
Depositi lazima zifanyike kupitia Airtel Money, na tiketi za Turbocash au system tickets hazitostahili kupata free spins. Unaweza kushinda zawadi zaidi ya moja wakati wa kampeni, lakini kwa kila droo, mshindi atapokea zawadi moja tu. Ili kudai zawadi yoyote, mshindi atahitajika kutoa kitambulisho na ushahidi wa makazi.
Usikose fursa hii ya kubashiri, kucheza michezo ya kasino mtandaoni, na kuwa miongoni mwa washindi wa bahati nasibu hii ya kusisimua nchini Tanzania kutoka meridianbet.