Barcelona imeendelea kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu Uhispania (Laliga) kufuatia ushindi wa 1-0 nyumbani dhidi ya Real Mallorca na kusogea mpaka alama 7 mbele ya Mabingwa watetezi, Real Madrid.
FT: Barcelona 1-0 Mallorca
β½ 46β Olmo
MSIMAMO: LaLiga π 5οΈβ£
π₯ Barcelona β mechi 33 β pointi 76
π₯Real Madrid β mechi 32 β pointi 69
π₯ Atletico β mechi 32 β pointi 63
4οΈβ£ Bilbao β mechi 32β pointi 57
5οΈβ£ Villarreal β mechi 31 β pointi 52