REAL MADRID YASALIMU AMRI KWA ARSENAL, BAYERN YATINGISHWA NA INTER MILAN

Mabingwa watetezi, Real Madrid wamevuliwa ubingwa wa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 5-1 dhidi ya washika Mitutu, Arsenal kwenye robo fainali huku Bayern Munich ikisukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha jumla cha 4-3 dhidi ya Inter Milan.

FT: Real Madrid 🇪🇸 1-2 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal (Agg. 1-5)
⚽ 67’ Vinicius Jr
⚽ 65’ Saka
⚽ 90+3’ Martinelli

FT: Inter Milan 2-2 Bayern Munich (Agg. 3-4)
58’ Martinez
61’ Pavard
52’ Kane
76’ Dier