FOUNTAIN GATE YAIPIGA MKWARA YAGA, HAWATOKI
ISSA Mbuzi, Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapinzani wao Yanga kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili Aprili 21 hawatoki kwa kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuchukua pointi tatu muhimu.
ISSA Mbuzi, Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapinzani wao Yanga kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili Aprili 21 hawatoki kwa kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuchukua pointi tatu muhimu.
NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu kama FA ambaye alikuwa ni mgeni rasmi kwenye Jambo Kubwa Kuliko East and Central Africa Aprili 16 2025 amesema kuwa ikiwa yaliyosemwa yatakuwa kwenye utekelezaji yataleta matokeo mazuri na kupunguza matumizi kwenye baadhi ya masuala ya viwanja. Mwinjuma amesema kuwa anaamini Simba SC ina nafasi…
Mabingwa watetezi, Real Madrid wamevuliwa ubingwa wa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 5-1 dhidi ya washika Mitutu, Arsenal kwenye robo fainali huku Bayern Munich ikisukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha jumla cha 4-3 dhidi ya Inter Milan. FT: Real Madrid 🇪🇸 1-2 🏴 Arsenal (Agg. 1-5) ⚽ 67’ Vinicius Jr ⚽ 65’…