Baada ya kushuhudia mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya na sasa ni zamu ya Europa league na Conference huku odd kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yakiwa hapa. Ingia na utengeneza pesa leo.
Manchester United ya Ruben Amorim watakuwa kibaruani kukipiga dhidi ya Olympique Lyon ya kule Ufaransa. Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa mwaka 2008 ambapo United aliondoka na pointi 4. Je leo hii Wafaransa watalipa kisasi wakiwa nyumbani?. ODDS za mechi hii 2.75 kwa 2.65. Suka jamvi hapa.
Tottenham Hot Spurs watapepetana dhidi ya Eintracht Frankfurt ya Ujerumani ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.20 huku Spurs ya Ange wao wakipewa ODDS 1.80. Mechi mbili za mwisho kukutana hawa wawili, Spurs aliondoka na pointi 4. Je leo hii nani kushinda? Beti sasa.
Pesa kumwagika leo mechi za Robo Fainali ya kwanza UEFA. Suka jamvi lako na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Lazio Rome atakuwa mgeni wa Bodoe/Glimt kutoka kule Norway huku mgeni wake anacheza ligi kuu ya Italia. Nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet amepewa mgeni akiwa na ODDS 2.35 kwa 3.05. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana. Je leo hii nani ataondoka na pointi 3?. Bashiri hapa.
Mtanange mwingine wa kubashiri ni huu wa Glasgow Rangers vs Athletic Bilbao ya kule Hispania na wapo nafasi ya 4, huku wenyeji wao kwenye ligi yao wapo nafasi ya 2. Wakali wa ubashiri Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Bilbao kwa ODDS 2.08 kwa 3.75. Je wewe pesa yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.
Kule Conference League mapema kabisa Chelsea watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Legia Warszawa ya kule Poland. The Blues wanahitaji ushindi leo hii kule ugenini huku Meridianbet wakiwapa ODDS 1.50 kwa 6.40 kushinda mechi hii. Je vijana wa Enzo Maresca wataanzaje Robo Fainali ya kombe hili?. Jisajili hapa.
Wakati majira ya saa 4:00 usiku Real Betis watakipiga dhidi ya Jagiellonia Bialystok ya Poland. Mwenyeji anakipiga kule Hispania huku leo hii akiwa ndiye anayependelewa kuondoka na ushindi ni wenyeji wakiwa na ODDS 1.30 kwa 10. Tandika jamvi hapa.
ACF Fiorentina atakuwa mgeni wa NK Celje ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi hii ya leo wakiwa na ODDS 6.60 kwa 1.50. Mwenyeji anapendelewa kuondoka na ushindi mnono siku ya leo. Bashiri hapa.