VIDEO: HUYU HAPA KUKUTANA NA UBAYA UBWELA, MBUZI, WAZEE WAFUPI

WAKIWA kwenye maandalizi ya mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Masry, unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 9 2025 Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kuvuka hatua ya robo fainali na kutinga nusu fainali huku akibainisha kuna mipango mingi inayoendelea.

Ahmed ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo huo hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi kuwapa nguvu wachezaji siku ya mchezo huo ikiwa ni ubaya ubwela.