MANCHESTER UNITED YAONDOKA NA POINTI TATU NYUMBANI DHIDI YA IPSWICH TOWN

Manchester United imefanikiwa kuondoka na pointi zote tatu nyumbani dhidi ya Ipswich Town katika dimba la Old Trafford.

Kwingineko Erling Haaland amefunga goli moja na kufikisha jumla ya magoli 20 kwenye Ligi Kuu England msimu huu akiipatia Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspur wakati Washika Mitutu Arsenal wakishindwa kutamba ugenini dhidi ya Nottingham Forest.

FT: Man United 3-2 Ipswich
⚽ 22’ Samy Morsy (og)
⚽ 26’ Matthijs de Ligt
⚽ 48’ Maguire
⚽ 04’ Philogene
⚽ 45+3’ Philogene

FT: Tottenham 0-1 Man City
⚽ 12’ Haaland

FT: Nottingham Forest 0-0 Arsenal

FT: Brentford 1-1 Everton
⚽ 45+4’ Wissa
⚽ 77’ O’Brien