VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Yanga watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Singida Black Stars, Uwanja wa KMC Complex kwenye msako wa pointi tatu.
Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba hesabu kubwa ni kupata pointi tatu, ukiweka kando mchezo huo kuna mchezo mwingine utakaowakutanisha wababe wawili kwenye msako wa pointi tatu itakuwa ni:-
Fountain Gate v Tabora United, Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara hizi mbili zitapigwa Februari 17 2025.
FEBRUARI 18 2025
Ken Gold v Kagera Sugar, Uwanja wa Sokoine, Mbeya
KMC v JKT Tanzania, Uwanja wa KMC, Complex, Dar
Dodoma Jiji v Tanzania Prisons, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
FEBRUARI 19 2025
Mashujaa v Pamba, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma
Namungo v Simba, Uwanja wa Majaliwa, Lindi.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.