AL HILAL OMDURMAN YA FLORENT IBENGE YAENDELEA KUWA TISHIO KWENYE KUNDI A

Al Hilal Omdurman ya Florent Ibenge imeendelea kuwa tishio kwenye Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika dimba la Cheikha Ould Boidiya, Mauritania.

FT: Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡© 2-1 πŸ‡¨πŸ‡© TP Mazembe
⚽ 21’ Abdelrahman
⚽ 90+2’ Girumugisha
⚽ 64’ Tshikomb

FT: Djoliba πŸ‡²πŸ‡± 0-0 πŸ‡ͺπŸ‡¬ Pyramids

MSIMAMO Kundi A
πŸ‡ΈπŸ‡© Al Hilal β€” mechi 2 β€” pointi 6
πŸ‡©πŸ‡Ώ MC Alger β€” mechi 2 β€” pointi 4
πŸ‡¨πŸ‡© TP Mazembe β€” mechi 2 β€” pointi 1
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga Sc β€” mechi 2 β€” pointi 0